Introduction

IJEN STORE ni tovuti bora Tanzania ambayo inamrahisishia mteja wetu kufanya manunuzi yake ya vyakula nyumbani kwa kutumia simu yake ya kiganjani, hivyo kumfanya kuepuka msongamano sokoni, kuokoa muda na kuepuka usumbufu.
– Pia tunasaidia wakulima na wajasiriamali wadogowadogo kwa kuwapa jukwaa la kuuza bidhaa zao kwa kupitia tovuti yetu.
– Tunauza bidhaa zote za chakula ambazo zimeorodheshwa kwenye tovuti yetu, kwa bei rafiki sana ukilinganisha na sehemu nyingine.
– Unaweza tazama bei zetu kwa kutembelea tovuti yetu na bila kusahau kujisajili ili uweze kufanya manunuzi na pia unaweza kutumia application ya simu yako ya kiganjani.
– Malipo kwa manunuzi utakayoyafanya ni kupitia simu yako ya kiganjani kwa tigo pesa, airtel money, na M-pesa.

TERMS

1. Mteja lazima ajisajili kwenye tovuti yetu ili aweze kufanya manunuzi ya bidhaa zetu na tupate rekodi zake zote za manunuzi.
Hapa terms nyingine Johnny alisema ataongezea……

Conditions

1. Mteja anatakiwa kutoa oda siku moja kabla ili siku inayofuata ndipo ataletewa bidhaa zake.
2. Malipo yafanyuke kabla ya kuletewa bidhaa.
3. Bidhaa zikaguliwe na mteja Mara baada tu ya kuzipokea kutoka kwa mtu aliyezileta kabla hajaondoka, kuondoka kwa mleta bidhaa kutamaanisha kuwa mteja ameridhika na bidhaa alizoletewa.
4. Hakuna bidhaa itakayorudishwa Mara baada ya mletaji bidhaa hizi kuondoka.
5. Gharama za kuletewa bidhaa ulipo zitatozwa kwa mteja ikiwa tu bidhaa zake hazijafikia thamani ya shilingi 30000

Return

BIDHAA VIPENGELE